Swahili

SWAHILI

Baba yetu wa mbinguni,
jina lako litukuzwe,
 Ufalme wako uje, mapenzi yako yafanyike,
duniani kama mbinguni.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku.
Utusamehe makosha makosa yetu,
kama sisi nasi tuwasamehevyo tuwasameheavyo makosa yetu.
Usitutie katika majaribu,
 lakini utuokoe na yule mwovu. 


Basi wewe, mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo katika Kristo Yesu.
Na mambo yale uliyoyasikia kwangu mbele ya mashahidi wengi, hayo uwakabidhi watu waaminifu watakaofaa kuwafundisha na wengine.


Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo.

Geen opmerkingen:

Een reactie posten